Onyo limetoka kwenye Idara ya habari maelezo kupitia kwa Mkurugenzi wake Dr. Hassan Abbasi ambapo gazeti lililoandika kichwa cha habari ‘UFISADI NDANI YA OFISI YA JPM‘ limepewa saa 24 kuomba radhi.
Taarifa ya Idara hiyo imesema ‘licha ya
habari hiyo kujenga dhana kuwa Rais John Pombe Magufuli anahusika na
kinachoitwa ufisadi, msingi wa taarifa husika ni tatizo la manunuzi
shirika la elimu Kibaha.
Kwa kuwa ni jambo lililodhahiri kuwa
shirika la elimu Kibaha sio ofisi, Idara wala kitengo ndani ya Ofisi ya
Rais, Mwandishi na Mhariri wa habari husika wamedhihirisha malengo ya
kumchafua Rais binafsi kwa jamii.
Serikali inawaagiza Wahariri wa gazeti
hilo kujitathmini na kuchukua hatua kwa kutumia kifungu cha 410 cha
sheria ya huduma za habari 2016 kinachowapa fursa ya kuomba radhi, kwa
kumuomba radhi Rais ndani ya saa 24 kuanzia saa kumi jioni ya January 30
2017.
Iwapo wahusika wataona muhali kufanya
hivyo, Serikali itachukua hatua kali kwa mujibu wa sheria na masharti ya
usajili wa gazeti husika, Tunaendelea kuwashukuru Wanahabari wanaofuata
madili ya taaluma. – Dr. Hassan Abbasi.
www.domdaily14.blogspot.com
Tuesday, 31 January 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Archive
-
▼
2017
(61)
- ► March 2017 (3)
- ► February 2017 (12)
-
▼
January 2017
(46)
- Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Nne na mtihani wa ...
- Gazeti lapewa saa 24 kumuomba radhi Rais Magufuli
- Ugomvi wa DC, Mbunge wa CCM wamfikia Waziri Mkuu
- Faru Fausta wa Ngorongoro atimiza Miaka 54, Aishi ...
- Haya hapa Mambo matano kwenye Taarifa ya kwanza ya...
- Mwanafunzi Chuo cha Ardhi Dar kizimbani kwa Kuchap...
- Siku 118 toka aufunge uwanja wa Taifa Waziri Nape ...
- Al-Shabab Washambulia kambi ya Wanajeshi wa KENYA ...
- PICHA: Rais Barrow alivyowasili Gambia
- Watu 14 akiwemo raia wa China wahofiwa kufa Mgodini
- Tetesi Kuhusu Adebayor kutua Yanga,..isome hii ya ...
- Faini yamgeukia Trafiki Dar es Salaam, aagizwa na ...
- Trump Kaanza Kuwatimua Watu Marekani.......Tayari ...
- Trump Kuzuia wahamiaji kutoka nchi za Kiislamu Afr...
- Kauli ya Tundu Lissu baada ya chaguzi ndogo kumali...
- Donald Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Mareka...
- Waziri Anjela Kairuki aiaga Dar leo na Kuhamia Dodoma
- PICHA: Magari ya Kifahari ya Rais Jammeh Yaliyozui...
- Profesa Lipumba Anusurika Kipigo kutoka kwa Vijana...
- Maiti iliyozikwa na Baadae Kukutwa Iko Nyumbani Ki...
- Wizara zote zatakiwa Kuhamia Dodoma kabla ya Feb. 28
- Haya Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa January 20
- Sababu za Edward Lowassa Kukamatwa na Polisi Jana
- Hii Hapa Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Baada Ya ...
- Ndege ya Mizigo Yaanguka na Kugonga Nyumba za Watu...
- Hivi ndivyo vipigo vitakatifu alivyowahi kupata Pe...
- Lugha ya Asili Yawachanganya Walimu Dodoma.....Wak...
- Haya hapa Magazeti ya Leo Ijumaa January 13
- Mmiliki wa gazeti la Lete Mambo Atupwa Selo..........
- Mazito Yazidi Kuibuka Anglikana........Askofu Moki...
- Mbunge wa Kilombero Morogoro (CHADEMA ) ahukumiwa ...
- Uteuzi wa Trump Waibua Maswali
- TALGWU Yakemea Watumishi wa Serikali za Mitaa Kudh...
- PICHA: Muonekano wa sasa wa Jennifer na Patrick 'W...
- Hii ndo Nchi ya Kwanza Duniani Kuzima Mitambo ya R...
- Lowassa, Maalim Seif Wawasha Moto Zanzibar
- PICHA: BILLICANAS YA MBOWE YAANZA KUBOMOLEWA RASMI
- Kafulila Kukabidhiwa Kadi ya CHADEMA Jimboni Kwake.
- Kitoweo cha samaki chaondoa uhai wa mtu
- Bosi mpya Tanesco kuwadhibiti 'vishoka'
- 50 wanusurika kufa ndani ya pori la Akiba.
- Trump asababisha Ford kusitisha kutengenezea magar...
- MOI yaelemewa na majeruhi wa ajali
- RC aomba sheria ya kutembea na sime ifutwe
- HALI YA STAA MWINGINE BONGO BAADA YA MATUMIZI YA D...
- Akwepa 'MAWE' kabla ya kuchomwa 'MKUKI' mdomoni
-
►
2016
(1)
- ► December 2016 (1)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni Yako Hapa (Zingatia Maadili)