Kama unakumbuka December 10 2016 Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa aliunda tume baada ya kupokea pembe mbili za
faru John na taarifa yenye nyaraka zilizotumika kumhamisha faru huyo.
Hatua hiyo ilifuatia agizo alolitoa December 6, 2016, akiwa ziarani
mkoani Arusha, ambapo alitoa siku mbili na kuutaka uongozi wa Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), umletee nyaraka zote zilizotumika
kumhamisha faru John kutoka kwenye hifadhi hiyo.
March 27 2017 Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa amepokea
www.domdaily14.blogspot.com
Tuesday, 28 March 2017
Wednesday, 22 March 2017
Ripoti ya Makonda kuivamia Clouds yakabidhiwa kwa Waziri Nape Nnauye
Ni siku kadhaa zimepita tangu tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda kuvamia Clouds Media akiwa na askari wenye silaha ambapo
ilifuatiwa na Waziri mwenye dhamana ya Habari, Nape Moses Nnauye kutembelea
Clouds na kuunda Kamati ambayo ingechunguza ishu hiyo. Sasa leo March 22
2017 Kamati hiyo imetoa matokeo ya uchunguzi huo.
Kamati imesema;
Kamati imesema;
Friday, 3 March 2017
CCM 'Yamtolea Nje' Mjane wa Kapteni Komba kuhusu Mafao ya Mumewe
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mjane wa Marehemu, Kapteni Komba, Bi. Salome Komba kufuatilia malipo ya mafao ya mumewe kwa uongozi wa kundi la Tanzania One Theatre (TOT) ambako ndiko alikokuwa akifanyia kazi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rodrick Mpogolo, ametoa maelekezo hayo ikiwa ni siku moja tu baada ya Salome kukaririwa akimuomba Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli aingilie kati kumsaidia ili alipwe mafao ya marehemu mume wake yanayofikia
Subscribe to:
Posts (Atom)