www.domdaily14.blogspot.com

Thursday, 1 December 2016

TAZAMA FAHARI YA MJI WA DODOMA

 Eneo lenye sanamu ya Baba wa Taifa maarufu kama Nyerere Square

Mji wa Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 hivyo basi mpenzi msomaji wa domdaily.blogspot.com ningependa nikuletee baadhi
ya vitu vichache vya kujivunia katika mkoa huu.

Utawala Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Mnada wa nyama Msalato
Uwanja wa kuchezea 'bodi mchoro'  Don Bosco-Mipango
Sehemu ya Hostel za Chuo Kikuu cha Dodoma- College of Education

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni Yako Hapa (Zingatia Maadili)